princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Eroo suvai,Nakubali ariff,,Kazi ni kazi asee.!Bora ata ange'diss wale machalii wanasafisha kucha mamsi..!!Fata mambo yako kila mtu aishi maisha aliyochagua mwenyewe.
Kama unaona sio kazi basi mpe kazi. Waswahili hatunaga dogo kabisa. Sasa si bora sisi wamasai tunasuka wanawake kuliko nyie mnakaa tu bila kufanya kazi alafu usiku unawakaba na kiwaibia watu waliotokwa jasho kutwa nzima.
Fata mambo yako eroo