Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kashfa zote hizi mbona sijasikia hata mmoja amejiuzulu?
wewe ukiambiwa uache kula utakubali?
bongo ajira = ulaji.
kwa wenzetu ajira = kutumikia raia kwa haki na usawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashfa zote hizi mbona sijasikia hata mmoja amejiuzulu?
Mie nimependa hapa...this is the govt without political will to tackle senior corruption. Mmm yaani hata hii sentensi hawataiona? hii tu ni aibu tosha, maskini JK wa watu asije kufa bure, hii si aibu hii jamani
Sura ya JK inazidi kuchafuka....na atachafuka mpaka achukue hatua.....
Gazeti la Mwanahalisi la wiki iliyopita lilisema kwamba JK tumbo moto: ni kuhusu WikiLeaks......
Bila shaka kuna cable kadhaa zitakuja ili kusiliba kabisa smile ya JK...
Very sad.....
Wamarekani ni noma, je na mabarozi wetu nje ya nchi wanapigania masilahi ya nchi yetu namna hii?
..............To a greater degree than previously known, diplomats are a big part of the sales force, according to hundreds of cables released by WikiLeaks, which describe politicking and cajoling at the highest levels.
It is not surprising that the United States helps American companies doing business abroad, given that each sale is worth thousands of jobs and that their foreign competitors do the same. But like the other WikiLeaks cables, these offer a remarkably detailed look at what had previously been only glimpsed - in this case, the sales war between American diplomats and their European counterparts.
..................... http://www.nytimes.com/2011/01/03/b... Source: New York Times 2 January 2011&st=cse
Hii ni kiboko! Yaani inaonesha wazi kabisa kuwa David Mattaka, MD wa Air Tanzania alikuwa analazimisha Boeing wapitie kwa agent mhindi ili waongeze bei ya contract na vigogo walipwe rushwa zao kama issue ya radar na nyingine. Rushwa imekithiri sana serikali ya Kikwete na hawa wala rushwa wanaangaliwa tu. Hakuna mkataba unapita bila vigogo kupewa rushwa.
Nimejaribu kuiangalia hii cable kwenye website ya WikiLeaks sijaiona, umeipata wapi mkuu Gulioni tukaisome from the source?