Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Muulize ndugu yako Dr.Dr.Dr. Dr. Luteni kanali alhaji Mh. Rais wa NEC Jakaya Mrisho Kikwete eboooooooooooo??????????Watu wengine bwana, hizo ndio espionage wanazofanya wenzetu! kuna mtu humu JF aliwahi kuuliza, sisi, tunafanya nini?
Kamsifu wapi bana? wewe kichaa nini? hiyo statement inaonyesha kuwa alikuwa anaambiwa na walaji wanaoshirikiana na Kikwete bana "The presidential advisor later got back to the DCM, telling him that President Kikwete was "incensed" upon learning that senior Air Tanzania officials might be intending to profit personally from the deal." Sasa angalia alivyowamaliza hapa "(Comment: "Agents" and steep "commissions" have been at the heart of several corruption scandals here, including a BAE radar deal in which the GOT paid a 31 percent commission to a Tanzanian agent, much of which ended up in Swiss bank accounts, according to a UK Parliamentary investigation. Despite the fact that the UK shared this evidence with Tanzania's corruption board, no evident action has been taken. End Comment.)"Mie sioni tatizo ila jamaa wa espionage ana report anayoyaona yeye hapo, labda hilola Mataka, jee bado yupo kazini? Tazama Kikwete alivyokuwa incensed! Hapendi upuuzi, hii inaonyesha credentials za Kikwete. Best ever. Hata wa Merekani wamemsifu.
Yaani our leaders ndiyo wanakuwa wanainsist uwepo wa mamidomani?????? Lakini tunarudi palepale JK was aware of what was going on na hakuwachukulia hatua yeyote wateule wake ( Mattaka, Chenge etc.). Walikodi hiyo airbus na sasa tunadaiwa kwa mtindo ule ule wa Dowans.
Masuala yoote haya JK IS THE PROBLEM!
Mtandao wa WikiLeaks wamlipua Mattaka Send to a friend Tuesday, 04 January 2011 10:40 0diggsdigg
Hata hivyo, Chenge anadaiwa kukana kauli yake kwa kusema kwamba alinukuliwa visivyo na vyombo vya habari Septemb 7, 2007 katika kikao chake na Pully pamoja na ofisa wa uchumi katika ubalozi wa Marekani.
Huyu Andrew Chenge mbona anahusishwa na scandal chafuchafu sana, is he credible?
Muulize ndugu yako Dr.Dr.Dr. Dr. Luteni kanali alhaji Mh. Rais wa NEC Jakaya Mrisho Kikwete eboooooooooooo??????????
delivery is expected kuanzia 2012-2016hizo ndege zinakuja lini???