More from WikiLeaks: Tanzania and the Fight to Stop Airbus Sale


Kazi ilikuwepo na ipo...again CHENGE...at least DAFTARI na RUFUNJO were parised positively...WHERE ARE THEY NOW??
 
Yawezekana Mattaka ni mtumishi aliyetukuka kwenye TISS, sasa unategemea nini
 

Kiongozi, nakubaliana na wee kuhusu kujua WACHINA wao interest zao na bongo ni vipi ila tatizo cable zao zitakua za KICHINA kusoma kwetu itakua taabu so effect yake itakua ndogo 🙂
 
Kumbe idadi kubwa ya wasomi wetu wanasomea wizi wa kuuangamiza nchi yao wenyewe ! Hawa inabidi watungiwe sheria kama ya wabakaji tu.Ngoja tufanye mchakato wa katiba tutaonana nao !
 
Mie sioni tatizo ila jamaa wa espionage ana report anayoyaona yeye hapo, labda hilola Mataka, jee bado yupo kazini? Tazama Kikwete alivyokuwa incensed! Hapendi upuuzi, hii inaonyesha credentials za Kikwete. Best ever. Hata wa Merekani wamemsifu.

Huyu Kikwete hakuna kitu kabisa. incensed! then what? Tangu achukie ni lini? Mbona Mataka bado yupo? Tena, mara NIC mara anarudishwa palepale.
 

bongo mafisadi wanaangalia hela yao maafa baadae, we fikiria watu wana chakachua mpaka helicopter za geshi, dawa za malaria etc etc.
 
tanzania,tumebarikiwa kuliko nchizote,na mzao wa tumbo lako aitwe maskini na msomi wa tumbo lako awe fisadi,wananchi wa nchi yako waishi kwa shida hata kula nyasi,tanzania takatifu nchi yaamanii mwananchi akidai haki mtovu wa nidhamu...........................mataifa mengine wapageuze shamba la bibi wavune wasicho panda.
 
Duh wiki liki za tanzania zipo wapi zote?
 
hapa naona kama kuna ka conflict if interests..................huyu Chenge nae kila dili anataka ehe kazi ipo...................
 
Hapo inaonyesha hawa jamaa wakikosa deal ya biashara na ikienda kwa Airbus inabidi wajieleze waliikosa kosaje? Typical business aggressiveness. Inabidi waanze kujitetea na wafanye kazi walizotumwa kuzifanya.

Jee, deal ilifanyika? Na Jee, kuna watu walilipwa?

Hii ya kutumia ma agent kwenye biashara kubwa ni kawaida kabisa duniani na si tatizo, hata Merekani wapo wanawaita lobbyists, kazi yao kubwa ni ku-influence maamuzi ya ama kisiasa au kibiashara, ili mradi hawavunji sheria.
 
AIRBUS.....

BRAINSTORMING.... (ibua hisia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…