More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

Kama sisi Nyangau sijui nini mtaitwaje???? By the way why do you kill a fellow human being??? Albinos are human beings. Ama mnadhani ni kuku???

Huwa tunawaita hawa WACHAWI wa kusini...teteheee!
 
Lakini ndugu zetu wa Tz badala ya kutamani kwenda ulaya tunawakaribisha Kenya. Kenya na Ulaya hakuna tofauti
 
tr.JPG
tr1.JPG
tr5.JPG
C48pVKxWEAAfl4m.jpg
 
Go do your homework.

We do not give a shit whether it's black or white.

We do not kill each other whether we are Kikuyus or Luhyas. Remember that.

I asked a simple question I needed a simple answer.

Nyang'au wahed.
typical response of a Bongolala
 
Lakini ndugu zetu wa Tz badala ya kutamani kwenda ulaya tunawakaribisha Kenya. Kenya na Ulaya hakuna tofauti
😀😀😀hapo umenena kaka...karibuni mji wa London....these assholes only know how to go to SA to shoot videos...come to Kenya...hamna tofauti kubwa na SA kidogo tu
 
mwache mwenzetu! na shikamoo bibi jihadi, hii mada haikufai jamani, hebu tutolee tamko kuhusu hawa kaka zetu wenye uchu wa mabikra....View attachment 471006View attachment 471007
watanzania wanasahau kama si efforts za kenya, hata nyie mngefyatuliwa na marisasi na mabomu huko kwenu...kwanza nyie ambaye hamna hata military inayotambulika mtamalizwa nyote...big up Kenya ata kama alshabaab wamekuwa menace
 
Lakini ndugu zetu wa Tz badala ya kutamani kwenda ulaya tunawakaribisha Kenya. Kenya na Ulaya hakuna tofauti
Haha unasemaje nyang'au ?
sasa ukitoa mall nn kingine kipo?mbuga mikumi ipo ...SA ni level za ulimwengu wa kwanza sasa nyie ni matopeni wenzetu tufate nn apo
 
watanzania wanasahau kama si efforts za kenya, hata nyie mngefyatuliwa na marisasi na mabomu huko kwenu...kwanza nyie ambaye hamna hata military inayotambulika mtamalizwa nyote...big up Kenya ata kama alshabaab wamekuwa menace
Hahahaha.. Mkuu unapata hadi ujasiri wa Kukejeli Jeshi lenye weledi uliotukuka(TPDF)

Hao kdf ndio walienda na tanks pale garisa, (huwa nacheka sana hii kitu,)
Na vile walikuwa spotted wakiiba biscuits westgate.
A reason alshabab militia have camps inside kenya (what a shame)
 
watanzania wanasahau kama si efforts za kenya, hata nyie mngefyatuliwa na marisasi na mabomu huko kwenu...kwanza nyie ambaye hamna hata military inayotambulika mtamalizwa nyote...big up Kenya ata kama alshabaab wamekuwa menace
Halafu naskia hata westgate attack kdf walienda na tanks. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Haya mambo yana mchango mkubwa sana katika kuongeza siku za kuishi.
 
Watanzania msiwaste doh zenu kuenda Dubai,kujeni kenya mfanye shopping zenu teketeke manake manze tuko juu yaani majuu tu sana.
 
Watanzia msiwaste doh zenu kuenda Dubai,kujeni kenya mfanye shopping zenu teketeke manake manze tuko juu yaani majuu tu sana.
umewahi fika Dubai? Hiyo
Solitary mall ndio ufananishe na Dubai??

By the way, hii two rivers iko bomba sana, ni babkubwa, according to the Video.
Nimecheki hiyo video, nyie jamaa mnaongea kingereza halafu ni washamba kinoma.
 
Back
Top Bottom