More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

More Wonders from Kenya,, biggest producer of flowers and tea like u said but yet its people die of hunger as we speak.
 

Nina kama picha za watanzania album mbili za omba omba mpaka huko vijijini Kenya......subiri naja......
 
Sorry about mlimani city bro, but this one is owned by Centum Investements, a kenyan company.
The fact kwamba vimejengwa kwenye ardhi ya Kenya inatosha kuwapongeza majirani.. Hongereni Nairobi inapendeza kwa mafly over na miundombinu mengine
 
Hapa kenya siioni. Naona China, japan, Tanzania, Marekani nk.
Halafu unajua kwanini inaitwa hivyo? Hiyo siyo sawa na ya kwenu ya malkia
3 ft 6 in gauge railways - Wikipedia
 
Hahaha... There are Tanzanian beggars in all our major cities, There are Wagangas kutoka Danganyika allover claiming miracles over everything under the sun.... Endelea kuishi in utopia land hapo
Si ndio propaganda mnazolishana. Mbona wapo wakenya kibao tu wanajifanya WaTZ. Sisi tanzania tunajuana. Kunasiri ipo duniani kote watz pekee wana alama yao. Mtanzania yupo na alama ndugu. Huwezi ukajichanganya na kujifanya mtz usujulikane.

We have our mark. Nyie hamna alama yoyote. TZ ni zaidi ya uijuavyo. Wewe endelea na propaganda za kitoto. Sisi tukiamua kuanzisha propaganda dhidi yenu mnapotea.
 

Hahahaha... laughing at you heartily. Clearly umevuta bhangi tena maua yake
 
And that is for sure man, in fact Kenya is the largest economy in East Africa , but with 46% people living below poverty lines.

How about 70% of you living in the Tandales of this world.......
 
More Wonders from Kenya,, biggest producer of flowers and tea like u said but yet its people die of hunger as we speak.

People equally die of hunger in Danganyika. Unataka Evidence hapa sasa hivi
 
Yan we jamaa nimbwa kabisa sion cha kukufanya utokwe povu kias icho unajivunia uchumi wa nchi wakati wananchi mmejaa shida tupu! Huon aibu !angalia nchi yenu uchumi wake unakua kwa kas gan na TZ unakua kwa kas ip then calculate after ten years km hamtaisoma namba,sion cha kukufanya ujipongeze na Kenya yako wakati wakenya wenyewe mnachukiana kama wanyama,kila sku mnatokwa povu mkidanganya mataifa ya nje mt Kilimanjaro uko kwenu eti Tanzanite inatoka kwenu !! Aibu hamna! Huo uchumi unaojivunia nao nyie km wananchi mnaendana nao?watu mmekondeana km mbwa alonyimwa msosi mwaka mzma then unajivunia eti best economy in E.Africa!Mna uchumi gan nyie nchi ina uchumi imara kila sku mnauawa km kuku ! Simje hata tuwaazime Sungusungu2 wakawasaidie!Kwa taarifa yako Tanzania is the beautiful country and not only in E.Africa but also in Africa.Mali asili2 tulizo nazo zinauwezo wa kuilisha na kuitunza Africa nzima nyangau ww.Mlivamiwa na watu 6 mkataftana wiki mzma na hamna hata mmoja mlomkamata then unajivunia mna uchumi imala! Mnauchumi imala then ulinzi wa nchi ukolegelege kiasi icho ! We ujiulizi uyo Obama unaejidai naye alivist kwetu kabla yenu hadi povu likawatoka! Jiulize Tanzania tumesaidia nchi ngapi Africa hii hadi zikapata Uhuru! Na nyie mmesaidia ngapi km mnauchumi imala!Uganda kupitisha 2 bomba la gasi Tanzania povu liliwatoka mpaka basi! Binafs sioni huo uchumi imala unaousema .You need to think bigger tukiwafungia vioo mtakufa nyie shauli yenu .
 

Umesema Mbwa basi wewe ni Mbwa mwenye hana mkia yule wa kukula mayai
 
Oh really? Maybe you haven't been to Pokot....then you would have known what savagery is!


Hahaaaa. Haujui lolote wewe. I come from Pokot land and there is Nothing you are telling me there. You are only hallucinating....
 
Hongereni kwa maendeleo, nadhani hiyo ni picha ya elimu bora mliyonayo. Mi hata sihitaji kujua inamilikiwa na matajiri wa taifa lipi, nawapa hongera nikijua kwamba, elimu ni taaluma ya kuyamudu mazingira husika. Wakenya mmehitaji hayo madude, wataalamu wenu wameyadizaini na kayajenga, wahandisi na wakandarasi from Kenyatta university, hayo ndo maendeleo. HONGERENI.
 
Nina kama picha za watanzania album mbili za omba omba mpaka huko vijijini Kenya......subiri naja......
Hakuna mtanzania masikini wa kuwa ombaomba, anaeweza Kusafiri hadi Kenya akaombeombe, tumieni viubongo vyenu kidogo hapo.
Wengi wa wanaokuja huko ni kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, na huku hakuna masikini na mifumo yao hairuhusu hilo.

Hao, nyumbani wana nyumba zao na vitega uchumi vyao vizuri tu, wameoa kwa zaidi ya ng'ombe 18 mahari. Na huletwa huko na vikundi vya wajanjajanja, ni kama biashara fulani hivi.
Wafatilieni, mtaligundua hilo, na wafukuzeni wanawaibia. Sio masikini hao, bongo watu ni wakujiuliza sana hawapati kitu ndo mana wanakuja kwenu. Wafukuzeni, nauli ya kuja Kenya inatosha mtu kulima hekari moja ya mahindi, kwann awe ombaomba sasa, fukuza.
 
That's wonderful, wenzetu mmefanyajefanyaje mpaka mkafika huko, majengo mazuri, ma flyover, hembu nasi mtupe huo ujanja . Wanasema kizuri kula na jiraniyo!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…