ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Kwahyo ulichowapongeza hapa ni nini? Kwamba wamefaulu kuwavutia wawekezaji au wameendelea kiujenzi au ustawi wa wakenya umeimarika?The fact kwamba vimejengwa kwenye ardhi ya Kenya inatosha kuwapongeza majirani.. Hongereni Nairobi inapendeza kwa mafly over na miundombinu mengine
Nadhani bana ba Afrika, sasa tunapoteza dira, maono na matarajio ya kujipigania uhuru. Sisi ni wajinga kuliko machief walorubuniwa na wakoloni kwa vitambaa vya nguo na wakauza nchi zao.
Big up wakenya kwa Mobius yenu, haya ndo maendeleo, maumau waliyafia. Takataka nyingine msituletee... ni ujinga wa kiubongo huo. Majengo, maduka, tena kwa teknolojia msiyoijua, ni upuuzi sana.