More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

Labda ulikuwa hujanielewa..Sijui umri wako chifu lakini imeshawahi sikia kampuni inaitwa MECCO? Vitu walivyofanya? Tanganyika Packers? Kaudo? Machine tools? Tanga cement? Mbolea Tanga? Sungura text?Etc etc... vitu Hivi na vingine vingi viliharibiwa na ubinafsi na roho mbaya ya mijitu meusi.. Kutokana na roho mbaya hizi, ubinafsi uliopitiliza na usanii first class tenda hawapewi tena waswahili siku hizi hata hizo za madaraja unayosema..Hata za kujenga magorofa tu hapa mjini wanapewa wachina.. mijitu meusi ndoa tulivyo
 
Babangu kwa sasa mahitaji yake ni chakula, tena ugali na maharagwe yaloungwa safi kwa nazi toka Bwagamoyo.

Sukari kwa chai yake, ardhi alime avune kidogo kwa ukame huu, wanae wasome hadi juu, asafiri vyema kwa wanawe,mavazi bora ayapate, maji safi japo ya kiasili ayapate, anywe pia na kapombe kake kamburudishe, hospitali apate huduma nzuri japo kwa sasa hapa si pazuri sana.

Babako anahtaji kipi? Vipi unampatia, wewe au nchi yako inampatia?
 
Okay! Ulichokimaanisha hapa ni poor management, hili si kosa la itikadi bali jamii. Niaminivyo mm, ubinafsi ndo dhambi kuu kuliko zote. Kama Mungu yupo kweli, hii ndo atakayoanza nayo.

Hata Lucifer aliifanya hii. Niaminivyo bnadamu hafungwi kwa sheria bora hata kamba inaweza ikamdhibiti. Ujamaa ulitakiwa uwe imani na dini ya watu... mtu achomwe kwa ndani kwakuwa mbinafsi, asijifikirie yeye bali jamii.

Hili ndo kosa kuu alilolitenda mwl. Nyerere, aliwaamini watu akasahau kuwa ubinafsi wao ndo ubinadamu wao. Akaziachia taasisi zingine kama dini, shule, mila nk zisihuubiri ujamaa.

Mbona makaka wawili wanaweza wakaendesha kampuni vizuri tu. Ubinafsi uloviua viwanda vyetu unang'oleka kiurahisi tu mkuu.

Nia, sababu, zikiwepo uwezo utapatikana tu. Watu walidahi nguo, simu, radio, na dawa za meno,.walipozipata hawakutosheka. Leo ukiwauliza watu, watasema enzi za mwalimu, waliokuwepo huko waliikataa enzi hizo.

Binadamu kwa asili ni mbinafsi, bila yeye kuwa juu kamwe hatoridhika. Cha msingi hapa ni kumuondolea tu hili pepo la ubinafsi... Buddha alishazitoa kanuni zake.
 
hapa tunaelewana lugha sasa kiongozi..ni kweli ubinafsi na roho mbaya waweza ng'olewa ama kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa bakora (angalia Rwanda, Uganda ya Iddi Amin ama Misri ya Nasser ama Burkina Faso ya Thomas Sankara)..Anyway tuna njia ndefu sana bado waafrika weusi kwa kuwa hata vile vitu ambavyo tumeachiwa na wenzetu tayari vimewekewa mfumo tunataka kupiga dili kuviharibu..Nani alijua kuwa South Afrika watakuwa na mgao mkali wa umeme kama sisi miafrika mingine?yote hayo dili ubinafsi roho mbaya kwenye tenda za maintenance ya miundombinu badala ya kufuata weledi
 
Bakora zije zitumike mwishoni lakini, wakati wengi wetu tutakapokuwa tumeshaumaliza ubinafsi mioyoni mwetu.

Wakaidi wachache kupitia nguvu ya wengi, bakora zitawarudisha kwenye track.

Vinginevyo, binadamu atatafuta vinjia tu vya kuzikwepa hizo bakora, na kwa ubinafsi wetu, hata wacharaza bakora wenyewe watazicharaza za chelewa za mnazi, maigizo.
 
heheheh lakini brathe si uwachane na hu mse. It's like reasoning na makanga wa mat za Lunga Lunga. Just leave him.
Hehe


Eti afadhali angezaa uji [emoji23][emoji23][emoji23] naisha hapa
 
Hiyo treni mbona imechoka sana kama gari la kuzoa taka? Ndo inaenda Uganda? Hahahahaha


A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested with on Wednesday night for collecting money in Embu town. Photo/KNA

A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money.

Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs of the severely handicapped were also apprehended on Wednesday night.

Embu West OCPD Francis Sang' said the nine admitted hailing from Tanzania but added that the organiser of the ploy had their identification documents.

He said the arrests followed a tip-off from members of the public, who informed them the group stayed at a hotel in the town.

Sang' said they were told members were moved to various strategic locations in the morning and taken back to the hotel later every day.

Coins amounting to Sh3,844 were recovered from the suspects being held at Embu police station, he said, adding they reported collecting a lot of money.

The OCPD said they tracked down the organiser and that the group will be arraigned in court once investigations are completed.

He asked residents to inform police of suspicious people in their neighbourhoods in an effort to curb crime.
 


Hivi mtu aliye na maisha mazuri anaweza chukuliwa awe ombaomba nchi jirani kweli?
 


Hivi mtu aliye na maisha mazuri anaweza chukuliwa awe ombaomba nchi jirani kweli?
 
 
Check out the laser and water fountain show at Two Rivers. Epic!
Nairobi is Coming of age ....you know the next mall bigger than Two rivers will be Next level shit .....and kedo 100,000m2
 
Nairobi going the Dubai style!! A first of its kind in Africa ama niaje??(fountains)
 
utter nonsense!! kwanza wewe mwenyewe hujielewi utaelewaje unachokiropoka humu? eti lugha za kijinga! kiswahili chenyewe kinaandikwa kwa msaada wa kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…