Daah, nimeshawahi ona watu walio na wivu lakini hii ya wabongo ni ya kuzidi!! Hadi inamfanya mtu awe kama wazimu, Kama yule anayesema 0.9 m watu ndio hawaishi kwenye slum Nairobi, We fikiria mtu kama huyu, wivu imemfanya wazimu hivihivi.
Achana nao,
Two rivers ni awamu tu ya kwanza, awamu ya pili ni mwezi wa saba, awamu ya tatu mwaka ujao. maanake, two rivers si mall tu, ni town nzima ile!! Second phase coming up very fast.
Hii hapa imefikia cladding,
I believe they will be in competition with the Northland District City
Residential parts of Northland City (Kenyatta's) will have exotic scottish estates, see below,
Nevertheless, here are some more images of two rivers
View attachment 472485 View attachment 472486 View attachment 472487