More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

Mage

Member
Joined
Sep 2, 2008
Posts
42
Reaction score
1
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.
 
Wakaka kazi kwenu naona CV yake iko poa sana na ninaona ni muwazi sana huyu mrembo haya jamani tumeni email kwa mrembo huyoooooooo
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

hiyo red tu ndo kikwazo kwangu, ila kwingine kote nnafit :A S 20::A S 20:
 
Hebu ni-PM,
Aaah okay kumbe mail ipo eeh.
 
all the best Mage, vp utamuhitaji kama ni mwanaume aliyewahi kuoa na ana watoto?
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Ukiona email hii fidel80@jamiiforums.com ujue ni mm.

Nina kila sababu ya kukucheck hata mm natafuta mchumba
 
Kweli kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza
 
Hebu ni PM kwanza nione kama upo seriouz!!!
Oooops!!then nitakupa mail address yangu,pia vipi ulikuwa UMEOLEWA???!!!!
 
Kila la kheri Mage....msalimu mwanao....aunt Michelle amsalimu......
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Huo uzito nitakuhimili kweli 90kg???

Mi nina 60kg any way nitavumilia tu mikimiki
 
Back
Top Bottom