More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner

C6 na charminglady tunaomba uzoefu wenu tafwadhali. this is serious

Mauzoefu yetu haya hapa......

Kwanza kabisa, kukutana JF i.e MMU na kuwa wapenzi / wachumba ni sawa na kukutana na mtu yeyote mahali popote na kuwa wapenzi / wachumba hatimaye mke na mume.

Si kwamba mnaanza kutupiana PM za kutongozana at the first time, bali mnaweza kutanishwa na event kama White Party n.k. Baada ya hapo mkaendelea kuwasiliana kama kawaida, mkafahamiana na mwisho wa siku mnaanza kudevelop interest hatimaye wapenzi »» wachumba »» ndoa!

Hivyo basi naweza kusema kuwa kukutana JF / MMU hakuna tatizo.....

Mie mwenyewe shahidi.....

C.C. Simplicity
 
Last edited by a moderator:

Funguka kwa ushahidi zaidi sista charminglady....
Na mie najiandaa na ushuhuda wangu!...
 
Last edited by a moderator:

huyu analeta utani........
 
mkuu ni wapi pametengwa pa kumpatia mpenz? Pamejengwaje ili nisipotee nkiwa naenda?
 
eheeee........sasa basi.......wewe njoo na zako hizo 100.....nami nije na zangu 327......za kwamba.....MMU ni sehemu salama......ya kupata mwenza.......tena naleta kwa kiswahili fasaha..........

Dah! JF? yaani takribani unagonga sababu moja kila siku mwaka mzima, hadi raha!
 

ahsante kwa maneno mazuri wife wangu. na hizi mvua za mwanza mwee balaa... njoo blanketi langu
 
Last edited by a moderator:
ahsante kwa maneno mazuri wife wangu. na hizi mvua za mwanza mwee balaa... njoo blanketi langu

"Jeuri hawana watabaki kuguna"

Watuwache tupumuwe miaka 100...... Mekujaa kwa spidi kali kuliko ya husen bolt
Na waendelee kusubiri ushahidi wa picha!!
 
mkuu ni wapi pametengwa pa kumpatia mpenz? Pamejengwaje ili nisipotee nkiwa naenda?

Mapi unatafuta mwenza MMU, na wale uliowaacha mtaani unaokutana nao? Kuweni wanaume jamani, face ladies physically, ukimface mwanamke kihivyo atakuheshimu, wanawake wanaporwa haki yao ya kutongozwa face-face, hatari!
 

Kuwa mwanaume aisee, face a woman physically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…