CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
C6 na charminglady tunaomba uzoefu wenu tafwadhali. this is serious
Mauzoefu yetu haya hapa......
Kwanza kabisa, kukutana JF i.e MMU na kuwa wapenzi / wachumba ni sawa na kukutana na mtu yeyote mahali popote na kuwa wapenzi / wachumba hatimaye mke na mume.
Si kwamba mnaanza kutupiana PM za kutongozana at the first time, bali mnaweza kutanishwa na event kama White Party n.k. Baada ya hapo mkaendelea kuwasiliana kama kawaida, mkafahamiana na mwisho wa siku mnaanza kudevelop interest hatimaye wapenzi »» wachumba »» ndoa!
Hivyo basi naweza kusema kuwa kukutana JF / MMU hakuna tatizo.....
Mie mwenyewe shahidi.....
C.C. Simplicity
Last edited by a moderator: