More than 100 good reasons why Jf/MMU is a wrong place for you to search a partner


Haya tumeshatoka kanisani...sasa kesho twende Hija bagamoyo ukatafute mchumba uko...
 
Last edited by a moderator:
Mapi unatafuta mwenza MMU, na wale uliowaacha mtaani unaokutana nao? Kuweni wanaume jamani, face ladies physically, ukimface mwanamke kihivyo atakuheshimu, wanawake wanaporwa haki yao ya kutongozwa face-face, hatari!
yenyewe nikiwa nae muda wote yupo JF, kwanini nisikamate fursa????
 
Haya tumeshatoka kanisani...sasa kesho twende Hija bagamoyo ukatafute mchumba uko...

Hatariii, huko watakuwa wamevaa full hijab na masks, kuna kuingia mkenge pia!
 

Ongea yote lkn sie yetu yanaenda hatujali lolote.....
 
sister wewe tukikutana live! Kumbe wakatoliki mna hija! Nilidhani wale wengine.

Embu weka vzuri hapo tulikutana au tukikutana? Yap hii ni hija ya wanawake wakatoliki tanzania (WAWATA) lakini pia wengine wanakaribishwa kujumuika nasi
 
Mitaa imejaa wanawake, Kimara, Mwenge, Posta, Knyama na kwingineko. Ukizunguka tu leo hii, nakuhakikishia kama upo vizuri unafish mmoja fasta. tinna cute liliendi christine ibrahim Cynthia Chriss
sasa hao walioko kwenye hiyo mitaa si ndio haohao walioko huku JF!!!??? jamani wadada/wanawake wa JF mnaishi hewani au sayari nyingine? au unaposema huko mitaani unamaanisha wale ambao hawajajiunga JF au mtandao wowote wa kijamii??? je tatizo ni mahali watu walipokutana na kuanza uhusiano?? kama mtu anatabia njema kuwepo JF au mtandao wowote wa kijamii hakuwezi kubadili tabia yake.
 
Last edited by a moderator:

The problem is where, how and why.
 
Embu weka vzuri hapo TUKIKUTANA au tukikutana? Yap hii ni hija ya wanawake wakatoliki tanzania (WAWATA) lakini pia wengine wanakaribishwa kujumuika nasi

Both words are correct.
 
usi generalise mimi nishaoa kupitia humu humu mtoto mzuri.............!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…