More than 190 Million people have used Kenya Airways so far..how many for dead ATCL airline?

+ KLM, Muzungu Airline!
images.jpeg

vipi mamarosa, povu litakumaliza!
 
Wacha tugoje direct flights to US that figure will quadriple in just a few years. Sijui mbona atuanzi za rio de janeiro au sao paulo direct.
India na China then London na USA
 
Mi huwa mnanichekesha sana. Mi nakubali kenya mmetuzidi kwa mengi, sababu ni kuwa always nyie ni mabepari. Hivyo mnaijua hela na mnajua kuitafta.

Sisi tunajikongoja, ipo siku tutawapita na kuwazidi mbali sana
 
Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
Hili nalo neno
 
Familia gani inashikilia nusu ya kenya....ebu tujuze ni acre ngapi ?
 
Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
yani ardhi ni sumu mbaya sana kwa wakenya yani watu hawana ardhi ya kujenga na uwezo wa kujenga nyumba zenyewe 😀😀😀😀
 
Mi huwa mnanichekesha sana. Mi nakubali kenya mmetuzidi kwa mengi, sababu ni kuwa always nyie ni mabepari. Hivyo mnaijua hela na mnajua kuitafta.

Sisi tunajikongoja, ipo siku tutawapita na kuwazidi mbali sana
wanetuzidi kwa lipi??? eleza vzr kwa kina ukiwa na supporting evidences
 
Back
Top Bottom