More than 190 Million people have used Kenya Airways so far..how many for dead ATCL airline?

More than 190 Million people have used Kenya Airways so far..how many for dead ATCL airline?

😀😀😀 JNIA imegeuka na kuwa port huko Watu wanavukishwa flooded aistrip kwa speed boats...hebu wekeni Picha kama mnafikiri nadanganya 😀😀
We are flying places update your facts now
 
Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
Hawa ni matomompo ,Shamba la Kenyatta linaanzia Riuri (Airport-North road) linapiga circle hadi Thika Road jirani na kahawa area

Lakini ,eti mijisifa tu ,jamaa kwa ujeuri kawka Electrical fence (stima) alafu bado yanachekelea
 
😀😀😀 JNIA imegeuka na kuwa port huko Watu wanavukishwa flooded aistrip kwa speed boats...hebu wekeni Picha kama mnafikiri nadanganya 😀😀
Mimi ninachomba kujua unasehemu ya kujenga au aridhi ni ya familia moja??
 
Hawa ni matomompo ,Shamba la Kenyatta linaanzia Riuri (Airport-North road) linapiga circle hadi Thika Road jirani na kahawa area

Lakini ,eti mijisifa tu ,jamaa kwa ujeuri kawka Electrical fence (stima) alafu bado yanachekelea
Waguse waone
 
Mimi ninachomba kujua unasehemu ya kujenga au aridhi ni ya familia moja??

Cha kwako au wewe ni mlinzi tu wa kipande hicho cha ardhi!? Hebu uwe mkweli rafiki. Tanzania ardhi yote ni yetu unaweza kwenda kufyeka pori eneo lolote na kuana kulima kadiri ya nguvu zako.
Huoni tofauti hiyo ya wakenya na watanzania!? Tatizo majivuno yenu yanatufanya tuwatenge. Mgekuwa ni watu wasio na majivuno na matusi mngefaidi mengi sana ya tanzania. Tatizo hamjui kula na vipofu. Na bahati mbaya sasa kipofu anaona. Wa kulaumiwa ni nyie kwa ushamba wenu.
Tanzania ardhi ni ya Serikali nyie maskuota tu mnahamishwa bila fidia ardhi ikihitajika kwa mradi.
 
Back
Top Bottom