Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
correction: more than 190 million have used the dreamliner
and still u mint losses..correction: more than 190 million have used the dreamliner
India na China then London na USAWacha tugoje direct flights to US that figure will quadriple in just a few years. Sijui mbona atuanzi za rio de janeiro au sao paulo direct.
And how much loss has KQ created so far?correction: more than 190 million have used the dreamliner
......and still its contribution to the GDP far outpaces the loses.and still u mint losses..
Hili nalo nenoNashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
And how much loss has KQ created so far?
Heeee, we ni pimbi kabisa! Wapi nimetaja KLM?KLM Sio yenu. Mbuzi wee.....
Familia gani inashikilia nusu ya kenya....ebu tujuze ni acre ngapi ?Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
Familia gani inashikilia nusu ya kenya....ebu tujuze ni acre ngapi ?
Familia gani inashikilia nusu ya kenya....ebu tujuze ni acre ngapi ?
yani ardhi ni sumu mbaya sana kwa wakenya yani watu hawana ardhi ya kujenga na uwezo wa kujenga nyumba zenyewe ππππNashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
hehehhe haina nafuu hioπππ wameamua kumuajiri mzungu aendeshe kampuni wanahali mbaya sanaAnd how much loss has KQ created so far?
with loss + leased aircrafts + shares from Klm, star alliance etcππππ how do u fill???correction: more than 190 million have used the dreamliner
wanetuzidi kwa lipi??? eleza vzr kwa kina ukiwa na supporting evidencesMi huwa mnanichekesha sana. Mi nakubali kenya mmetuzidi kwa mengi, sababu ni kuwa always nyie ni mabepari. Hivyo mnaijua hela na mnajua kuitafta.
Sisi tunajikongoja, ipo siku tutawapita na kuwazidi mbali sana