More than 190 Million people have used Kenya Airways so far..how many for dead ATCL airline?

Chukua idadi ya watu wa kenya na Tanzania, linganisha na bajeti ya nchi hizi mbili
tz tuko 53.4 m
kenya wako 50m. haya nipe budget ya kenya πŸ˜€

na kama huna idea yoyote ya uchumi ni heri tuishie hapa maana usije ukajitia ujuaji alaf u knw nothing
 
correction: more than 190 million have used the dreamliner
Yani population zaidi ya Africa Mashariki combined Tz ,Rwanda, Burundi, Uganda and Kenya. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ATCL labda tuhesabu wale marubani wawili waliikomboa toka Canada πŸ˜€πŸ˜€
 
Wacha uongo chauffeur wa muindi. Tz mko 55 million na budget ya $14 billion
Kenya 45million budget ya $30 billion πŸ˜€πŸ˜€
 
tanzania budget is 16b usd
katika hio budget 75% ni internal and rest is loan and funds

kenya budget is 26b
but 17b usd from internal source and rest 9b usd from loan and funds

je umejifunza kitu hapoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
uneona tofaut ya loan and funds in the budget???
tanzania is 3b while kenya is 9bπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
yani ardhi ni sumu mbaya sana kwa wakenya yani watu hawana ardhi ya kujenga na uwezo wa kujenga nyumba zenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi ningewashauri waachane na ndege watafute kwanza uwezo wa kupata aridhi.
 
Siku nyingine mkitaka kutufananisha na Kenya muwe nafikiria kwanza labda mjena issues za WAKIMBIZA UPEPO. Maswala ya kiuchumi acheni kabisa sisi sio wa level yenu.
 
Siku nyingine mkitaka kutufananisha na Kenya muwe nafikiria kwanza labda mjena issues za WAKIMBIZA UPEPO. Maswala ya kiuchumi acheni kabisa sisi sio wa level yenu.
Hata hivyo nyinyi pia sio level yetu sisi Tanzanians na ndio maana tumeanza kuwatoa Wakenya katika major positions ili wasifanye hujuma ya viwanda na makampuni yetu
 
Hata hivyo nyinyi pia sio level yetu sisi Tanzanians na ndio maana tumeanza kuwatoa Wakenya katika major positions ili wasifanye hujuma ya viwanda na makampuni yetu
Mkuu soma vizuri mimi mpare
 
Point Nzuri sana, Actually Kenya budget in reality is much lower than Tz budget πŸ˜€
Third of Kenyan budget lost to corruption: anti-graft chief
 
Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
haya tuoneshe ardhi yako maskini wa kutupwa wewe
 
Nyang'au ndiyo mlituibia ndege zetu mlipo vunja first EAC sasa mnatucheka Kwa kutuita DEAD
haya tuoneshe ardhi yako maskini wa kutupwa wewe
So what bro
Ujinga wa huyu Bleitz ni kujifanya hajui wakati ukweli anaujua.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ JNIA imegeuka na kuwa port huko Watu wanavukishwa flooded aistrip kwa speed boats...hebu wekeni Picha kama mnafikiri nadanganya πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…