More than 190 Million people have used Kenya Airways so far..how many for dead ATCL airline?

This syringe is oversize for that little girl
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ JNIA imegeuka na kuwa port huko Watu wanavukishwa flooded aistrip kwa speed boats...hebu wekeni Picha kama mnafikiri nadanganya πŸ˜€πŸ˜€
We are flying places update your facts now
 
Nashangaa mtu mzima anaongelea ndege. Wakati hana mahali pa kujenga nyumba yake. Nusu ya aridhi ya kwao inashikiwa na familia moja. Si ujinga huu?
Hawa ni matomompo ,Shamba la Kenyatta linaanzia Riuri (Airport-North road) linapiga circle hadi Thika Road jirani na kahawa area

Lakini ,eti mijisifa tu ,jamaa kwa ujeuri kawka Electrical fence (stima) alafu bado yanachekelea
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ JNIA imegeuka na kuwa port huko Watu wanavukishwa flooded aistrip kwa speed boats...hebu wekeni Picha kama mnafikiri nadanganya πŸ˜€πŸ˜€
Mimi ninachomba kujua unasehemu ya kujenga au aridhi ni ya familia moja??
 
Hawa ni matomompo ,Shamba la Kenyatta linaanzia Riuri (Airport-North road) linapiga circle hadi Thika Road jirani na kahawa area

Lakini ,eti mijisifa tu ,jamaa kwa ujeuri kawka Electrical fence (stima) alafu bado yanachekelea
Waguse waone
 
Mimi ninachomba kujua unasehemu ya kujenga au aridhi ni ya familia moja??

Tanzania ardhi ni ya Serikali nyie maskuota tu mnahamishwa bila fidia ardhi ikihitajika kwa mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…