More than serious nahitaji mume wandugu

sio lazima utoe comment kila thread unayoiona! hususani kama huna muda wa kutosha kusoma na kuelewa mada.
wenzako kuna nyuzi nyingine uwa tnapita tu kama hatuna hojaza msingi, ni ushauri wa bure tu

 
No,umekosea buji! Mke mwema hutoka kwa bwana (mume mwema mtu hujichagulia...)
ndo mnaendelea kujichagulia mpaka mnafikisha miaka 32+ halafu mnasumbua watu humu jf,washaurioni na wenzenu walio na umri mdogo kuwa huo uzuri wao wajitahidi wautumie na mwenzi wake na sio kuja kutafuta mume uzeeni,acheni kuwa mnalinga sana mwishowe mnapoteza bahati
 

usikurupuke weweee,soma maelezo yake vizuri,mbona ametaja umri wake wazi kabisa? We umeng'ang,ania 33-43 wapi amesema ana umri huo,nina mashaka na ugreat thinker wako!
 
Bado haujapata?. Ukiona muda unasogea na hatokei mwenye vigezo, jaribu kupunguza vigezo.
 
usikurupuke weweee,soma maelezo yake vizuri,mbona ametaja umri wake wazi kabisa? We umeng'ang,ania 33-43 wapi amesema ana umri huo,nina mashaka na ugreat thinker wako!
Original post ambayo hakuweka wazi umri wake imenukuliwa hapa. Unachokisoma hapo juu ni edits alizofanya baada ya kukosolewa na kuomba samahani hapa. Kwa hiyo sijakurupuka ndugu Jeff, tumerekebishana nae na tumeshayamaliza in private. Halafu sijawahi kuji consider kuwa "great thinker." Acha mapepe.

Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu

Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 33 - 43.
 
Dada suala la kupata mtu serious humu;unaliamini maana kwanza matapeli wengi kwa nn usiendelee kumuomba Mungu?
 
Watu wapo wenye kutaka kuoa tatizo kigezo cha elimu wengi watachemka kama mimi.
 
Kila la kheri Dada nakuombea upate mume mwema
 
Nice upo mkoa gani
 
Sipendagi kucomment ujinga ila hii kali. Yaani miaka 32 wamepiga weeee mpaka wamechoka ndo mtu anastuka istoshe bado ana masharti afu anasema serious. Na mtaisoma namba tu siku hizi mbegu 'xy' imeanza kuadimika na 'xx' za siku hizi ni hivi kama Mungu ndo anaanza uumbaji vile watoto ni wakali aisee. Afu amestuka mpaka anaomba na mwenye mtoto. Mimi nina mtoto na tayari Nina vigezo vyote unavyovitaja lkn lazima uandike barua ya maombi na interview ifanyike. Sio kizembe ivi
 
Ka ma nikweli basi we ni wa kwangu kabisa.
 
Kila mwanamke ana ustaharabu wake , umri wa mtu si kigezo cha kufanywa au kufanya mapenzi ovyo ovyo , tumpe tumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…