Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Ndvyo ilivyokuwa uko Ruangwa Simba sc dhidi ya Namungo akitokea benchi, Bernard Morison anafunga bao moja kali sana ambalo linawezekana likawa bao bora la ligi, Morrison amekuwa mtu wa masihara sana ila mara zote anapobadilika na kuwa siriaz wapinzani husaga meno, pole nyingi kwa watesekaji.

IMG_20210529_175148.jpg
 
Tatizo la mashabiki ni hisia

Morison alivyopiga mashuti ya mbali mwanzoni ambayo hayakulenga lango watu wakaanza kumponda kua alitakiwa atoe pasi ila tamaa yake ya kutaka kufunga amejikuta akiiweka timu pabaya
wakati imetanguliwa goli moja

Now kapiga shuti la aina ile ile ambalo walimponda mwanzo na kupata goli, now wame-switch wanaanza kumpa kongole kua bao zuri
 
Vigezo gani hutumika kuhakikisha mtu anavuta bange Pasipo kithibitisho lakini 🤣🤣
 
Anaonekana babu kwa sura ila unaweza kuta kwenye ma-file ya Simba na FIFA anasomeka yupo 24/26.
 
Tuwekee video ya lile goli dhidi ya Namungo FC
 
Mimi ni mvutaji huyo hatumii bangi.Wavuta bangi ni watu makini sana.Apunguze anachofanya kwa sasa
 
Kuna muda niliona baada ya kukaba yeye anampiga makonzi yule mchezaj wa namungo..dah ben bhana bangi zake sijui anadownload wapi
 
Yaani huyo Morison akili zake anazijua mwenyewe kwani kuna wakati zinakuja kuna wakati zinaondoka. Au inawezekana akili zimemzidi kiasi cha kumsababishia mawenge uwanjani. Ila kiukweli kabisa jamaa ni bonge la mchezaji mpira anaujua. Tatizo lake kubwa ni masihara na nidhamu mbovu.
 
Back
Top Bottom