Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

Basi niseme kutakuwa na mchuano kati ya magoli haya
1. dube
2. tshabalala
3. morrison
Binafsi nimevutiwa na la Morrison leo hii.
Ni goli zuri sana lakini kwasababu msimu bado unaendelea tusubiri tuone
 
Tatizo la mashabiki ni hisia

Morison alivyopiga mashuti ya mbali mwanzoni ambayo hayakulenga lango watu wakaanza kumponda kua alitakiwa atoe pasi ila tamaa yake ya kutaka kufunga amejikuta akiiweka timu pabaya
wakati imetanguliwa goli moja

Now kapiga shuti la aina ile ile ambalo walimponda mwanzo na kupata goli, now wame-switch wanaanza kumpa kongole kua bao zuri
Hao ndo mashabiki walivyo,kama mahakamani wanakufunga dk sifuri tu.
 
Akiacha bangi hawezi cheza kwa kiwango ni bora awe anashtua hata cha ukucha tu,kamwe asiache.
 
.
Screenshot_20210526-222922.jpg
 
Back
Top Bottom