IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Anapuliza ki mtindo uyuKwani jamaa huwa anavuta🤔
Hapana mzee sio siriaz ni utani tuVigezo gani hutumika kuhakikisha mtu anavuta bange Pasipo kithibitisho lakini 🤣🤣
Lile la msimu lile bonge la goalAutomatically,goli la BM3 ndio goli bora la msimu huu.
Ila inawzekana siku na macho na kaizer chief baada ya kuingia tu(naona moshi ulikuwa bado haujatoka kichwan)Anapuliza ki mtindo uyu
Kuliko lile la M Hussein?Automatically,goli la BM3 ndio goli bora la msimu huu.
Kuliko lile la M Hussein?
Kwani msimu umeshaisha ?Automatically,goli la BM3 ndio goli bora la msimu huu.
Hili ni zaidi mkuu. Kwanza umbali halafu mpigaji alifanya kama masikhara pamoja na mbwembwe za kukera ndio balaaKuliko lile la M Hussein?