Morison amekuwa mtu wa masihara ila anapobadilika na kuwa siriaz, wapinzani husaga meno

Basi niseme kutakuwa na mchuano kati ya magoli haya
1. dube
2. tshabalala
3. morrison
Binafsi nimevutiwa na la Morrison leo hii.
Ni goli zuri sana lakini kwasababu msimu bado unaendelea tusubiri tuone
 
Hao ndo mashabiki walivyo,kama mahakamani wanakufunga dk sifuri tu.
 
Akiacha bangi hawezi cheza kwa kiwango ni bora awe anashtua hata cha ukucha tu,kamwe asiache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…