Morisson, Mwamnyeto na Lomalisa wachapwe fimbo 12 kila mmoja

Morisson, Mwamnyeto na Lomalisa wachapwe fimbo 12 kila mmoja

Joined
Dec 23, 2021
Posts
56
Reaction score
228
Bernad Morisson, anafanya mambo ya kitoto kabisa uwanjani, anawafokea wenzake na kuwadharau kwa kujiona yeye ni 'professional' muda ambao timu inahitaji umakini mkubwa kwa kila mchezaji ili kupata matokeo. Imenikera sana, pia inashusha morali ya timu na kuwapa wapinzani nguvu kwa kuona kuwa hawa watu hawana 'maturity' ya soka.

Bakari Nondo Mwamnyeto, linakabia macho, linageuka taratibu yani ni lizito kama li kiboko.

Joyce Lomalisa Muntambala, nasema kwa akili yangu kutoka katika chemba za uvungu wa moyo wangu bila kulazimishwa na mtu huku nikizingatia sheria na kanuni zote za nchi kama inavoelekezwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila mwanachi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana haki ya kujieleza na kutoa hisia zake bila kubughudhiwa na mtu yeyote.
Joyce Lomalisa Mutambala tumepigwa, tena pigo baya saana.

Tumepoteza mchezo na kutolewa hatua hii kishamba sana.
 
Nyie usajil wenu kwajili ya kuifunga Simba,na mpira wenu wa kichawi,,

Wachambuzi maandazi wa kibongo kadri wanavyokuwa wanaiponda Simba Mara kwa mara, ndio wanaifanya inakuwa Bora zaidi
 
gsm atuachie timu yetu.gsm wamesajili wagonjwa wa akili wakaacha wachezaji.

Aziz Kei anamwambia BM,"tumia akili wewe acha wehu toa pasi haraka",Azizi Kei kagundua haraka sana kua BM anamatatizo ya akili ila viongozi wetu wamemsajili!.kha,,,!

Yanga daima,mbele Mandonga nyuma mwiko.
 
Hizi ni akili za mihemko.Kwa hiyo kwa mihemko yako mlitegemea mkapindue meza sudan kwenye timu mliyoshindwa kuifunga kwenu mkiwa na kila kitu.Ule ndo uwezo wenu acheni kutafuta lawama kama vile hamjawai kufungwa.Ile al hilal sio Ihefu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom