Nipemkono tushindane
Member
- Dec 23, 2021
- 56
- 228
Bernad Morisson, anafanya mambo ya kitoto kabisa uwanjani, anawafokea wenzake na kuwadharau kwa kujiona yeye ni 'professional' muda ambao timu inahitaji umakini mkubwa kwa kila mchezaji ili kupata matokeo. Imenikera sana, pia inashusha morali ya timu na kuwapa wapinzani nguvu kwa kuona kuwa hawa watu hawana 'maturity' ya soka.
Bakari Nondo Mwamnyeto, linakabia macho, linageuka taratibu yani ni lizito kama li kiboko.
Joyce Lomalisa Muntambala, nasema kwa akili yangu kutoka katika chemba za uvungu wa moyo wangu bila kulazimishwa na mtu huku nikizingatia sheria na kanuni zote za nchi kama inavoelekezwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila mwanachi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana haki ya kujieleza na kutoa hisia zake bila kubughudhiwa na mtu yeyote.
Joyce Lomalisa Mutambala tumepigwa, tena pigo baya saana.
Tumepoteza mchezo na kutolewa hatua hii kishamba sana.