Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumikia adhabu huwezi kuichezea yanga utakavyoNi muda sasa umepita tangu warudi kikosini Ki Aziz, Bangala na Super BM, cha ajabu hawa wawili kila mechi wapo, jamani Morisson vipi?
Mshahara anaubwenya kama kawaida ?anatumikia adhabu huwezi kuichezea yanga utakavyo
Sehemu ya mshahara wake ni kodi zetu sisi walala hoi kupitia yule mzee namba 2 kwa akili utopoloniSisi wananchi kwa ujumla au??
"Anatingisha bamia" msemo mpya town au? Maana yake nini?Anatingisha bamia sasa hivi stress hana
Kapama, nyoni, okra, okwa wapo wapi mbona hawachezi?Ni muda sasa umepita tangu warudi kikosini Ki Aziz, Bangala na Super BM, cha ajabu hawa wawili kila mechi wapo, jamani Morisson vipi?