Morisson wetu yu wapi?

Morisson wetu yu wapi?

Ni muda sasa umepita tangu warudi kikosini Ki Aziz, Bangala na Super BM, cha ajabu hawa wawili kila mechi wapo, jamani Morisson vipi?
Anatumikia adhabu huwezi kuichezea yanga utakavyo
 
e1b599e9-879f-48f6-8227-1f44069bdc6d.jpg
 
Japo wengine wanabeza lkn umeuliza jambo zuri.

Mimi mwenyewe naliona pengo lake,awepo acheze japo kwa kupokezana na Farid.

Farid, Moloko sometimes wanazingua
 
Japo wengine wanabeza lkn umeuliza jambo zuri.
Mimi mwenyewe naliona pengo lake,awepo acheze japo kwa kupokezana na Farid,
Farid,Moloko sometimes wanazingua

Bahati mbaya kuna tetesi atakosa hata mechi za kimataifa,lol
 
Ni muda sasa umepita tangu warudi kikosini Ki Aziz, Bangala na Super BM, cha ajabu hawa wawili kila mechi wapo, jamani Morisson vipi?
Kapama, nyoni, okra, okwa wapo wapi mbona hawachezi?
 
Back
Top Bottom