Morning after pills.

Morning after pills.

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
686
Kumekua na hoja kwamba vidonge vya kuzuia au vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara kwa afya ya mtumiaji,je hizi dawa za morning after pills nazo zina matatizo au ni zile za mda mrefu tu?naomba kujua wakuu.
 
mmh wenyewe wanasema zitumike hasa pale zinapohitajika ikitokea mmejichanganya accidentially ... zisitumike kama njia za uzazi wa mpango, may be kutumia mara kwa mara kutakuwa na longterm side effects.
 
haya swali kwa wafanyamatusi hiloooo kazi kwenu
 
Back
Top Bottom