Mkuu kuna homon inaitwa testosterone amabyo ndiyo inayohusika na mihemko ya mwili kwa wanaume na mambo yoote ya tabia za kiume..
Mara nyingi sana homo hii humwagwa mwilini kwa wingi naturally mida ya alfajiri na kusababisha "DOGO JANJA" kusimama na inaposhuka basi dogo husinzia...
Kuna watu hii homon ni nyingi sana na kuna watu hii homon ni kidogo, ikiwa nyingi mwilini maara nyingi watu huwa na tbia za kiume zilizopitiliza kama vile ubabe, kuwa rough na mambo kama hayo ila ikipungua sana watu huwa na tabia za kike sana na mambo ya kike mfano mwanaume kufumuka maziwa kama mwanamke, makalio kuwa makubwa na mmbo kama hayo....
Kimsingi homoni hii huwa nyingi unapokuwa na umri wa ujana na hupungua kadri unavyozeeka....
Zipo sababu zinazopunguza uzalishwaji wake kama vile STRESS, ULEVI KUPITA KIASI, VYAKULA HASA VYA MADUKANI, MADAWA na CHEMIKALI nyingi za viwandani...
Vyakula vinavyosababisha kuzalishwa kwa wingi hii homon ni vile vyenye ZINC kwa wingi kama vile PWEZA, MBEGU ZA MABOGA, MATIKITIKI MAJI NA MBEGU ZAKE na VYAKULA VINGI VYA BAHARINI....
Kumekuwa na kamsemo mitaani kuwa ukiwa na gemu kanywe SUPU YA PWEZA...lakini kimsingi pweza wamesheheni zinc kwa wingi hivyo kusababisha homon hii kuzalishwa kwa wingi....
Nafikiri nimetoa angalau mwanga fulani na nimejitahidi kuepuka maneno ya kitaalamu....