Morning Glory

Morning Glory

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
286
Reaction score
597
Basi yeye ajuaye Kugenda mema,wala hayatendi kwake huyo ni dhambi
Screenshot_20230724-075736.jpg
 
Mathayo 5:28
[28]lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.


But I say unto you, That whosoever looketh on a woman to lust after her hath committed adultery with her already in his heart.
 
2 Wakorintho 5:17
[17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.


Therefore if any man be in Christ, he is a new creature: old things are passed away; behold, all things are become new.
 
1 Yohana 4:1-3
[1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

[2]Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.

[3]Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
 
Wakolosai 3:23
[23]Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu,


And whatsoever ye do, do it heartily, as to the Lord, and not unto men;
 
Zaburi 53:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza,
Hakuna atendaye mema.

(To the chief Musician upon Mahalath, Maschil, A Psalm of David.) The fool hath said in his heart, There is no God. Corrupt are they, and have done abominable iniquity: there is none that doeth good.
 
2 Samweli 22:35
[35]Ananifundisha mikono yangu vita;
Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba.

He teacheth my hands to war; so that a bow of steel is broken by mine arms.
 
Back
Top Bottom