Me ni msikilizaji mzuri wa Radio Magic Fm, hasa kipindi chao cha Asubuhi.. Nilikua navutiwa sana na Uchambuzi wa Kibwana Dachi.. Ila sasa wanampa nafasi finyu sana, tofauti na mwanzo...
Jirekebisheni Mr Ok, Salum na Mary, Mnaanza poteza Wasikilizaji..