Morning Trumpet 4

Mzee Mohamed
Salutation...
Hivi vichambua mada uchwara na vitoto vya siku hizi hawawezi hata siku nusu kufikia karamu uliyopitia katika maisha yako....
Excuse my French....
 
Mzee Mohamed
Salutation...
Hivi vichambua mada uchwara na vitoto vya siku hizi hawawezi hata siku nusu kufikia karamu uliyopitia katika maisha yako....
Excuse my French....
Tek...
Wanajifunza tuwatie moyo.
 
Mzee Mohamed
Salutation...
Hivi vichambua mada uchwara na vitoto vya siku hizi hawawezi hata siku nusu kufikia karamu uliyopitia katika maisha yako....
Excuse my French....
Akitoa illusions zake za kidini..ila kwakua yeye na udini ni kama samaki na maji..basi ateendelea kupuuzwa tu kama wapuuzi wengine..mana hii nchi haijawahi na haitowahi kuja kujengwa kwenye hiyo misingi anayoipigania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sipati picha wazee wa kariakoo wangepigana vita kama ambavyo wazee wangu walipigana vita vya majimaji......uhuru ulidaiwa kilaini mno tena kwa maneno matupu huku wanauza kahawa
 
Mna...
Wazee wako waliopigana na Wajerumani - Hassan Omari Makunganya, Abdulrauf Songea Mbano, Bi. Khadija bint Mkomanile kwa kuwataja wachache hawana tofauti na wazee wangu - Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima na Bi. Halima Selengia waliomkabili Muingereza bila ya kunyanyua silaha.
 
Unawataja wachache sana ambao umeamua kuwachagua wewe vipi wakina mzee mtongwele,mzee chindamba,mzee mtuli,mzee mandota na nduguye kutoka kijiji cha chikoweti mbona hauwataji au kwakuwa hawakuwa waislamu? Na hao babu zangu wala hawakuandikwa popote pale wakati walikuwa wanacheza na risasi uwanja wa vita ila watoto wao wala hawalazimishi kuandikwa wazazi wao
 
Mnach...
Hao niliowataja sikuwataja kwa upendeleo nimewataja kwa kuwa ni wazee wangu na nafahamu historia zao.

Sidhani kama nastahili kulaumiwa kwa kutowataja wazee wetu hao uliowataja.

Kwa kuwa wewe unawafahamu nakuomba utundikie historia zao katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika au mengineyo waliyafanya kustahili wao kukumbukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…