Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tek...Mzee Mohamed
Salutation...
Hivi vichambua mada uchwara na vitoto vya siku hizi hawawezi hata siku nusu kufikia karamu uliyopitia katika maisha yako....
Excuse my French....
Akitoa illusions zake za kidini..ila kwakua yeye na udini ni kama samaki na maji..basi ateendelea kupuuzwa tu kama wapuuzi wengine..mana hii nchi haijawahi na haitowahi kuja kujengwa kwenye hiyo misingi anayoipigania.Mzee Mohamed
Salutation...
Hivi vichambua mada uchwara na vitoto vya siku hizi hawawezi hata siku nusu kufikia karamu uliyopitia katika maisha yako....
Excuse my French....
Smart...Ahsante kwa taarifa...
Unawataja wachache sana ambao umeamua kuwachagua wewe vipi wakina mzee mtongwele,mzee chindamba,mzee mtuli,mzee mandota na nduguye kutoka kijiji cha chikoweti mbona hauwataji au kwakuwa hawakuwa waislamu? Na hao babu zangu wala hawakuandikwa popote pale wakati walikuwa wanacheza na risasi uwanja wa vita ila watoto wao wala hawalazimishi kuandikwa wazazi waoMna...
Wazee wako waliopigana na Wajerumani - Hassan Omari Makunganya, Abdulrauf Songea Mbano, Bi. Khadija bint Mkomanile kwa kuwataja wachache hawana tofauti na wazee wangu - Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima na Bi. Halima Selengia waliomkabili Muingereza bila ya kunyanyua silaha.
Mnach...Unawataja wachache sana ambao umeamua kuwachagua wewe vipi wakina mzee mtongwele,mzee chindamba,mzee mtuli,mzee mandota na nduguye kutoka kijiji cha chikoweti mbona hauwataji au kwakuwa hawakuwa waislamu? Na hao babu zangu wala hawakuandikwa popote pale wakati walikuwa wanacheza na risasi uwanja wa vita ila watoto wao wala hawalazimishi kuandikwa wazazi wao