a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani) ambacho kitampa pia heshima na kuthaminiwa .
DALILI ZINAZO ONYESHA UMEKWISHA IBIWA KITU CHAKO CHA NDANI YAKO CHA THAMANI CHA KIROHO na adui nguvu za giza ,
(ADUI NI MWIZI HUIBA )
Yohana 10:10
Mwizi huja tu kuiba, kuua na kuharibu; mimi nilikuja ili wawe na uzima, tena wawe nao tele.
Dalili ya kwanza NDOTO
1)Utaota ndoto UMENYOLEWA NYWELE ZA KICHWA CHAKO.
Samsoni aliponyolewa nywele alipoteza kile kitu chake cha ndani cha kiroho kilichokuwa kinampa heshima,thamani na utambulisho wa kipekee,kilichompa NGUVU,
utaota umepoteza VIATU ,au NGUO
ama utaota ndoto UPO UCHI mtupu..kuonesha wamekuondolea utu,huna nguvu za ulinzi wa kiroho ,heshima yako imechukuliwa nafasi yako.
2)Maisha yako yana kuwa ya kukwama kwama kudumaa,unapata kufeli kuanguka mara kwa mara kimaisha,unapoteza kibali,watu wana anza kukuchukia bila sababu,milango ya fursa iliyokuwa wazi mwanzoni inafunga,unakosa hamu shauku,nguvu ya kufanya kazi uliyokuwa unaifurahia mwanzo,kujiona huna thamani,watu wanaanza kukupuuza chochote unachofanya unaonekana unakosea
Kwa kifupi utatumia NGUVU kubwa sana kupata katika kazi ambazo mwanzo ulikuwa unafanikisha kwa njia rahisi,na utapata kidogo tena ama kwa kudhulumiwa,hasara na mikosi..na kuna wakati unaweza ukajihisi kama SIO wewe,
HATUA YA KUCHUKUA
1)omba toba na rehema ,tubu dhambi zote laana za ukoo,maovu ya mababu baba na mabii,vunja maagano na madhabahu za giza,omba rehema za Mungu
NENO LA MUNGU
Yoeli 2:25
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
Kwa damu ya Yesu,kata kamba za mauti,roho za kuzimu na uharibu na mauti..na mikataba na madhabahu za kuzimu,choma motoo kwa damu ya Yesuu...
SOMO LA PILI KWA LEO
ROHO FUATILIZI(roho za giza adui zinazofuatilia maisha yako)
Hizi roho za mauti za giza ni roho zinazofuatilia ,kukusanya taarifa zako na kizipeleka katika madhabahu za ufalme wa giza ,taarifa zako kama za maisha yako ya kiroho,mafanikio yako,hatima uliyoibeba,ama kusudi lako la maisha yako ulilolibeba ndani yako,udhaifu wako,maisha yako ya kiroho,imani yako kwa Mungu,maisha yako ya ibada,maisha yako yote udhaifu wako ,nguvu zako,baraka zako
Roho hizi zinaweza kujitokeza katika ulimwengu wa mwili katika maumbo ya wanyama,ndege wadudu n.k au katika NDOTO.
ni kama kamera za siri za kuchunguza mwenendo wako ha hali yako ya kiroho na kimwili(kama cctv camera ,camera za siri za uchinguzi,kama wapelelezi,vinasa sauti na picha.
kazi nyingine ni kulaani maisha yako ,kuzuiwa maombi yako sala zako,kuleta mashambulizi ya kiroho.
BAADHI YA WANYAMA ,NDEGE ,WADUDU wanaotumiwa sana na roho hizi kama cctv camera ,kuchunguza kwa siri,na kwa ukimya,kwa umakini kimya kimya kupeleka taarifa kwa ufalme wa giza na kufanya mashambulizi ya kiroho kwako ni.
NB ukiona hawa wanyama wanaonekana katika mazingira ya karibu na nyumbaa yako MARA KWA MARA wanakuja ,halafu wanakufuata wanakukimbiza,au wanakukodeleaa macho wanakushangaa muda mrefu halafu hawakuogopi au wanatoa mlio wa sauti za ajabu.
NB sio inabidi wafanye tabia hizo za kushangaza tofauti na kawaida,ila sio mara zote wanyama wakionekana nyumbani ni monitoring spirit usije ukawachukia wanyama,ila kama wanyama hawa watakuwa na vitendo vya kustaajabisha kama kuja dirishani kwako kila siku ghafla wanakuja kila siku ,kukukodelea macho kukushangaa,kukukimbiza,milio ya ajabu,hawakuogopi au unawaona ndotoni wanakukimbiza n.k
au wanakutokea ndotoni wanakukimbiza
1)BUNDI---bundi ana macho makali kama camera yanayo ona usiku na shingo yake inazunguka pande zote,na ana ukimya umakini,usiri ,busara na hekima ya uovu.
2)PAKA MWEUSI -paka mweusi na nyata kimya kimya anawinda ana macho yanayongaa na kuona usiku,pia ni rafiki wa mwanadamu,na paka anaona viumbe vya kiroho ana weza kunusa hatari za kiroho..hutumiwa na mawakala wa nguvu za giza kufuatilia maisha ya watu kuwachunguza kwa siri bila wao kujua ili washambuliwe
3)MIJUSI YA UKUTANI ile wall gecko..mijusi milaini ile inapenda kukaa chumbani kwako
4)NYOKA
5)POPO-u
6)BUIBUI-utando wa bui bui..kufunga mitego maisha yako
7)NDEGE unakuta ndege anakufuatilia ,au anakukimbiza au anakuja kukaa dirishani kwako ndege mmoja au kundi kubwa la ndege wanakuja kwako..ay ndege mweusi anakukimbiza
au NDOTONI..ndege wanakukimbiza
DAWA YAKE NI DAMU YA YESU...
Tumia jina la Yesu
Kwa jina la Yesu na damu ya Yesu,uwepo wa viumbe vyovyote uliopo kinyume na kusudi la Mungu kwangu vichomwe moto kwa damu ya Yesu.