Sio Mbaya Yanga, Simba na timu zingine huwa wanashare Uwanja wa Taifa
More power to Azam watapata extra gate Money and taxes for their use...
Klabu kongwe, YANGA na SIMBA ziii sababu ya wazee wa timu hizo hawapendi maendeleo - wanapenda kula
Una uhakika na unalolisema...?? We mara ya mwisho kufika mbagala ilikuwa lini...??? Assume uwanja ungejengwa direction ya Morogoro road kuanzia kimara kuelekea Mbezi.. kungekuwa na afadhari katika foleni..??Tatizo ni huo umbali, na foleni za mbagala ukizingatia mashabiki wengi ni watumiaji wa daladala
Azam ashakuwa bingwa kibongo bongo tayari ana point 18,hebu angalia kama mechi ya mwisho itakayo amua bingwa na azam akamalizia mechi ya mwisho uwanjani kwake na mojawapo ya timu zilizotajwa hapo juu unategemea nn?hebu tusubiri tuone mwisho wa msimu
<br />Ni pointi 24 mkuu,maana timu nne zitakipiga hapo H/A.Bingwa atatangazwa mapema tu hapo Chamazi.
Ligi itakapoanza,ndo watu watakuumbuka maneno haya.Azam ashakuwa bingwa kibongo bongo tayari ana point 18,hebu angalia kama mechi ya mwisho itakayo amua bingwa na azam akamalizia mechi ya mwisho uwanjani kwake na mojawapo ya timu zilizotajwa hapo juu unategemea nn?hebu tusubiri tuone mwisho wa msimu
hongera BAKHRESA kwa kuwekeza ktk uwanja!wewe ndie tajiri wa bongo wa ukweli,wengine mafisadi tuu!
Tatizo ni huo umbali, na foleni za mbagala ukizingatia mashabiki wengi ni watumiaji wa daladala
Una hakika huyu tajiri kuwa mali zote alizonazo hakuwahi kufisadi?