Moro Utd,A.Lyon na Villa Sqd kuchezea Chamazi Complex ya Azam FC ni sahihi?

Moro Utd,A.Lyon na Villa Sqd kuchezea Chamazi Complex ya Azam FC ni sahihi?

<br />
<br />
Asante kaka,ligi imeshaharibika una point 24 kibindoni nani wa kukupata

Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja?
 
Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja?
Kweli eeh,maana kuna pointi za chee home ground.
 
Azam ikichukua premier msimu huu itakuwa ni ukombozi mkubwa wa soka na ligi yetu kutoka katika ushabiki wa kipuuzi wa Simba na yanga.
 
Azam uwanja sasa unawalipa,pointi wanachukulia sebuleni!!!
 
Back
Top Bottom