Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 568 Aug 5, 2011 #21 mwacheni77 said: <br /> <br /> Asante kaka,ligi imeshaharibika una point 24 kibindoni nani wa kukupata Click to expand... Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja?
mwacheni77 said: <br /> <br /> Asante kaka,ligi imeshaharibika una point 24 kibindoni nani wa kukupata Click to expand... Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 6, 2011 Thread starter #22 Elia said: Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja? Click to expand... Kweli eeh,maana kuna pointi za chee home ground.
Elia said: Mbona mnajihami fanyeni usajili wa maana na mazoezi, mshaanza kukata rufaa kabla ligi haijesha! nani kawakataza kujenga uwanja? Click to expand... Kweli eeh,maana kuna pointi za chee home ground.
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Aug 6, 2011 #23 TFF ni mazuzu wanaona kwa urefu wa pua zao.
Pianist JF-Expert Member Joined Nov 7, 2010 Posts 681 Reaction score 372 Aug 6, 2011 #24 Azam ikichukua premier msimu huu itakuwa ni ukombozi mkubwa wa soka na ligi yetu kutoka katika ushabiki wa kipuuzi wa Simba na yanga.
Azam ikichukua premier msimu huu itakuwa ni ukombozi mkubwa wa soka na ligi yetu kutoka katika ushabiki wa kipuuzi wa Simba na yanga.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 9, 2011 Thread starter #25 Humphnicky said: TFF ni mazuzu wanaona kwa urefu wa pua zao. Click to expand... Kabisa mkuu,si umeona ubabaishaji hata wa kuitafutia friend match Taifa Stars umeishia sakafuni.Usanii tupu.
Humphnicky said: TFF ni mazuzu wanaona kwa urefu wa pua zao. Click to expand... Kabisa mkuu,si umeona ubabaishaji hata wa kuitafutia friend match Taifa Stars umeishia sakafuni.Usanii tupu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 14, 2011 Thread starter #26 Naona Azam imneanza kuwalipa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 24, 2011 Thread starter #27 Azam uwanja sasa unawalipa,pointi wanachukulia sebuleni!!!