Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Habari wadau,

Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha.

Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge iliyochangiwa na malezi.

Nawapongeza Senegal Timu yao imejaa vijana wadogo lakini wamepambana.
​
 
Football brain my blady ass .
 
Baadhi ya maamuzi vs opponent wa Morocco kuanzia ngazi ya mashindano ya vilabu na Taifa ......mmmmmmm Ni muda wao sasa....
 
Ukitaka kujua tofauti ya mchezaji aliye kulia mtaani na aliye kulia Academy basi mechi ya juzi ya Stars na Morocco. Wale jamaa wanajua kupokea na kuificha mpira, wanajua mda wa kuachia mpira na kutafuta space,wanajua kushusha na kutuliza presha ya wapinzani,yaani wale jamaa juzi walitufundisha mpira.
 
Back
Top Bottom