Football brain my blady ass .Habari wadau,
Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha.
Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge iliyochangiwa na malezi.
Nawapongeza Senegal Timu yao imejaa vijana wadogo lakini wamepambana.
Madagascar ni Kama vimavi vya mtoto kwa MoroccoBingwa kivipi wakati hajakutana na wanaume madagascar