D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 9, 2022 #41 Watu8 said: Morocco ni mwakilishi wa CAF kwenye WC... Wao kama wanajiona sio Waafrika basi wajue kuwa sisi Waafrika kupitia CAF tunewaagiza wakatuwakilishe huko na wakifanikiwa warudishe kombe kwenye ardhi iliyopo Afrika... Click to expand... kwani wapi walisema wao sio waafrika? kwanini munakua na mihemko kama hivo? ngozi nyeusi ni hopless kabisa
Watu8 said: Morocco ni mwakilishi wa CAF kwenye WC... Wao kama wanajiona sio Waafrika basi wajue kuwa sisi Waafrika kupitia CAF tunewaagiza wakatuwakilishe huko na wakifanikiwa warudishe kombe kwenye ardhi iliyopo Afrika... Click to expand... kwani wapi walisema wao sio waafrika? kwanini munakua na mihemko kama hivo? ngozi nyeusi ni hopless kabisa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 10, 2022 #42 dos.2020 said: kwani wapi walisema wao sio waafrika? kwanini munakua na mihemko kama hivo? ngozi nyeusi ni hopless kabisa Click to expand... Wewe umesoma wapi ambapo waliposema wao ni waafrika?
dos.2020 said: kwani wapi walisema wao sio waafrika? kwanini munakua na mihemko kama hivo? ngozi nyeusi ni hopless kabisa Click to expand... Wewe umesoma wapi ambapo waliposema wao ni waafrika?
J modric Member Joined Sep 14, 2019 Posts 22 Reaction score 11 Dec 10, 2022 #43 hawa jamaa sio kipind hich tu cha kombe la dunia walisha tukataa Africa kitambo sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 10, 2022 #44 Kila la kheri zao...
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Dec 10, 2022 Thread starter #45 Wanafiki mliojiondoa kwa MORROCO kwasababu ni wabaguzi msilete tena shobo bakini huko huko.
Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,082 Reaction score 2,402 Dec 10, 2022 #46 Wamejipanga