Morocco na kocha wao hawajabahatisha, walijipanga

Morocco na kocha wao hawajabahatisha, walijipanga

Morocco ni mwakilishi wa CAF kwenye WC...
Wao kama wanajiona sio Waafrika basi wajue kuwa sisi Waafrika kupitia CAF tunewaagiza wakatuwakilishe huko na wakifanikiwa warudishe kombe kwenye ardhi iliyopo Afrika...

kwani wapi walisema wao sio waafrika? kwanini munakua na mihemko kama hivo? ngozi nyeusi ni hopless kabisa
 
hawa jamaa sio kipind hich tu cha kombe la dunia walisha tukataa Africa kitambo sana
 
Wanafiki mliojiondoa kwa MORROCO kwasababu ni wabaguzi msilete tena shobo bakini huko huko.
 
Back
Top Bottom