Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari.

Source:TV Kienyeji.
 
Hongera yao kwa ajili ya waarabu na waislamu..
Hivi ingetokea timu moja itoe kauli kwamba ushindi wake ni kwa ajili ya mataifa ya Kikristo, hakungekalika kwa vilio, waislamu wangelia sana...

img-20221207-wa0032-jpg.2438762
 
Hawa jamaa wanatumia uchawi wa kiarabu
 
Kwa upande wangu; timu yoyote itakayo changa karata zake vizuri kati ya hizo 4, basi itakuwa Bingwa. Iwe hiyo Morocco, Ufaransa, Argentina, au Croatia.
 
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari.

Source:TV Kienyeji.
Tuendelee kunywa mtori wa story nyama tutazikuta chini
 
Lolote baya liwakute wapigwe kama mbwa koko hao Waarabu wabaguzi
 
Back
Top Bottom