Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Morocco National football team, ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana, ikifuatiwa na Algeria National football team, nawakubali sana. Hata wakikutana na Taifa Stars nitashabikia moja kati ya hizo timu pendwa.
Kwa hiki kilichotokea kwa mkapa baada ya game kumalizika na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Taifa Stars, ni dhahiri Morocco inapendeka/inakubalika, the best team in Afrika namba 1
Angalia hapa, timu bora Afrika, yenye mastaa wanaokipiga nje ndani, kila mmoja pale anatamani kupiga nao picha kama kumbukumbu.
View: https://www.instagram.com/reel/Cz9lHTjr925/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
God bless Morocco players 🇲🇦 you are the best!