Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Aaah March Makamba...Allahu akbar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah March Makamba...Allahu akbar
Morocco National football team, ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana, ikifuatiwa na Algeria National football team, nawakubali sana. Hata wakikutana na Taifa Stars nitashabikia moja kati ya hizo timu pendwa.
Kwa hiki kilichotokea kwa mkapa baada ya game kumalizika na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Taifa Stars, ni dhahiri Morocco inapendeka/inakubalika, the best team in Afrika namba 1
Angalia hapa, timu bora Afrika, yenye mastaa wanaokipiga nje ndani, kila mmoja pale anatamani kupiga nao picha kama kumbukumbu.
View: https://www.instagram.com/reel/Cz9lHTjr925/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
God bless Morocco players 🇲🇦 you are the best!
Kama wawapenda olewa nao wakakucharange
UbarikiweAhsante kwa taarifa...
Morocco National football team, ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana, ikifuatiwa na Algeria National football team, nawakubali sana. Hata wakikutana na Taifa Stars nitashabikia moja kati ya hizo timu pendwa.
Kwa hiki kilichotokea kwa mkapa baada ya game kumalizika na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Taifa Stars, ni dhahiri Morocco inapendeka/inakubalika, the best team in Afrika namba 1
Angalia hapa, timu bora Afrika, yenye mastaa wanaokipiga nje ndani, kila mmoja pale anatamani kupiga nao picha kama kumbukumbu.
View: https://www.instagram.com/reel/Cz9lHTjr925/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
God bless Morocco players 🇲🇦 you are the best!
Acha ujinga, unapenda timu ambayo waliukataa Uafrika wao wakati wa kombe la dunia! Hawa wanatakiwa kuchukiwa na waafrika wote.
Neno ubaguzi linatumika sana pale mtu anataka kurazimisha hoja yake. Kwa bahati mbaya Waafrika wengi tunapenda kuwatetea watu wanaochukia rangi nyeusi. Kama sakata la huyu kapteni wa timu ya kandanda ya Morocco lilikupita pasi jikumbushe.Una uhakika gani kama wameukataa uafrika?
Kwahiyo ukiwachukia wewe, unataka na wengine wawachukie!!
Acha ubaguzi, fanya kazi
Morocco National football team, ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana, ikifuatiwa na Algeria National football team, nawakubali sana. Hata wakikutana na Taifa Stars nitashabikia moja kati ya hizo timu pendwa.
Kwa hiki kilichotokea kwa mkapa baada ya game kumalizika na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Taifa Stars, ni dhahiri Morocco inapendeka/inakubalika, the best team in Afrika namba 1
Angalia hapa, timu bora Afrika, yenye mastaa wanaokipiga nje ndani, kila mmoja pale anatamani kupiga nao picha kama kumbukumbu.
View: https://www.instagram.com/reel/Cz9lHTjr925/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
God bless Morocco players 🇲🇦 you are the best!
Neno ubaguzi linatumika sana pale mtu anataka kurazimisha hoja yake. Kwa bahati mbaya Waafrika wengi tunapenda kuwatetea watu wanaochukia rangi nyeusi. Kama sakata la huyu kapteni wa timu ya kandanda ya Morocco lilikupita pasi jikumbushe.