Tutaingia kinyume nyume tu na lazima Wydad Casablanca apigike, hifadhi huu ujumbe Chifu.π§πππ₯πππ
Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii
Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.[emoji119]Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki ni hizi za mabosi VVIP je Mwekezaji atakuwepo nae Casablanca Kama alivyokuwa kwa mkapa.
NB;Kwa wale ambao wameshaingia Uwanja wa mkwakwani Tanga ni sawa tu nakusema jukwaa la urusi limeshajaa[emoji119][emoji23].
NB: picha haihusiani na mada ..... nmejaribu kutabiri[emoji23][emoji23]View attachment 2598496
Next on the list...Mnahangaika kama kuku watetea waliotayari kutaga..
Huyo wydad anafungwa tuko hapa...tunzeni comment yangu
Mick simpati instagram sijui imekuajeTunatoboaje hapa ....View attachment 2598498
Hatuendi kiivyo mkuu...yani ktk siku watakumbuka ni kwanini walimbwela Benjamini...yani kule full time ni 0 kwa 0
Sahau, kuna kupigwa kama ngoma huko.Hatuendi kiivyo mkuu...yani ktk siku watakumbuka ni kwanini walimbwela Benjamini...yani kule full time ni 0 kwa 0
Sawa kakaMnahangaika kama kuku watetea waliotayari kutaga..
Huyo wydad anafungwa tuko hapa...tunzeni comment yangu