Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
π§πππ₯πππ
Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii
Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.[emoji119]Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki ni hizi za mabosi VVIP je Mwekezaji atakuwepo nae Casablanca Kama alivyokuwa kwa mkapa.
NB;Kwa wale ambao wameshaingia Uwanja wa mkwakwani Tanga ni sawa tu nakusema jukwaa la urusi limeshajaa[emoji119][emoji23].
NB: picha haihusiani na mada ..... nmejaribu kutabiri[emoji23][emoji23]