Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Ogopa sana unapopambana na mtu ambaye hana cha kupoteza. Wydad ana vingi vya kupoteza katika gemu ile na Simba hana cha kupoteza. Jeshi langu likitulia linaenda kuweka historia mpya.

Binafsi napenda sana moments kama hizo, ni moments za kujidhihirisha wewe ni nani na kukata kauli za wanaokubeza.
 
Hamna cha kupoteza kwamba mshachukua kombe au?
 
Naona tunawakuza sana hawa Wydad,mbona wanafungika?mwalimu aandae vijana vizuri tu mwarabu anakufa kwao.
Watanzania hasa hawa wa pwani na zanzibar wanakawakaida ya kuwainua sana waarabu.

Hao waydad sijaona ukali wao upo wapi mechi nyingi za nyuma wametoa sare au ushindi mdogo wamepata..

Ata aina yao ya uchezaji ni kawaida sana.
Hapo Morocco simba anaweza kucheza nao vizuri tu na akawazuia kabisa wasifunge.
 
Mwamedi mwenyewe anaogopa [emoji23]
 
Ikiwa kwao ...umekufa
 
Acha uzwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…