Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

Weka na za Simba kabla ya Raja tuone

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
WYDADY atafungwa na SIMBA kama kasimama na ni uwanja wake wa nyumbani , sio nyie tu YANGA hata WAARABU duniani wote hawatoamini nini? Kimetokea
 
Simba atapigwa 6
 
Simba ni timu kubwa hivyo lazima uwanja ujae maana watu wanataka burudani ya soka. Ulitaka game ichezwe kwenye uwanja tupu kama ile game ya juzi ya Yanga vs River?
 
JINI BALEKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

MKANDAJI WA utopwinyo....KIBU DROGBAAAAAAAAAA

BEKI KATILI.......HENOCK INONGAAAAAAAAAAAAAAAAA

Wydad 0-1 Simba sc

3' Jean othos Baleke
 
Robertinhoo anasema kuwa anapenda mechi ijae mashabiki wengi kama alivyozoea kucheza katika uwanja wa Maracana nchini brazil miaka ya 1980's
 
Naona tunawakuza sana hawa Wydad,mbona wanafungika?mwalimu aandae vijana vizuri tu mwarabu anakufa kwao.
Hafii ataishii na kwa vyovyote iwavyo atawapiga tu magoli nusu fainal uwezi kucheza kwa wachezaji kma mzamiru ,Boko sijuu saido hkuna ,huwezi kwenda tuliaa mwisho wako itakuwa robo for the rest
 
Simba ni timu kubwa hivyo lazima uwanja ujae maana watu wanataka burudani ya soka. Ulitaka game ichezwe kwenye uwanja tupu kama ile game ya juzi ya Yanga vs River?
Sasa mbna mmekumbilia CAF kusemelea[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…