Morocco: Tiketi za mechi ya Wydad na Simba zaisha

JINI BALEKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

MKANDAJI WA utopwinyo....KIBU DROGBAAAAAAAAAA

BEKI KATILI.......HENOCK INONGAAAAAAAAAAAAAAAAA

Wydad 0-1 Simba sc

3' Jean othos Baleke
Simba 0 wydadi 5
 
Robertinhoo anasema kuwa anapenda mechi ijae mashabiki wengi kama alivyozoea kucheza katika uwanja wa Maracana nchini brazil miaka ya 1980's
Kama utachunguza body language yake ....utaona ni mtu mwenye hofu
 
Hafii ataishii na kwa vyovyote iwavyo atawapiga tu magoli nusu fainal uwezi kucheza kwa wachezaji kma mzamiru ,Boko sijuu saido hkuna ,huwezi kwenda tuliaa mwisho wako itakuwa robo for the rest
Kuna Mzee onyango pale

Najua penalty ipo
 
Naona tunawakuza sana hawa Wydad,mbona wanafungika?mwalimu aandae vijana vizuri tu mwarabu anakufa kwao.
Kuota kunaruhusiwa sema hakujawahi kumuacha mtu na mtokeo sahihi. Kuna timu za kumfunga huyo Mwarabu pale kwao ila sio Simba wala Yanga. Utake usitake utapigwa iwe mchana au usiku, huna beki wa kuwazuia wasifunge na huna mshambuliaji wa kuwafunga page kwao. Simba anaweza kushinda kama Wydad wataamua kujifunga wenyewe kwa makusudi ila sio vinginevyo, na ukimuomba Mungu atakuambia miguu si nimekupa? Haya Kapambane mbona hata hao wenzako wameshaniomba .
 
Equation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…