TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
The giantsMabingwa kombe la robo fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The giantsMabingwa kombe la robo fainali
Kweli jambo hili ni Baya mkuuHapana. Hiyo imekuwa inavunja spirit ya timu na kufanya wachezaji kujitafutia mafanikio binafsi. Goli nyingi zilizokoswa mechi ya Wydad zilikuwa ni kwa sababu mchezaji hataki kumpasia mwenzake aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga. Matokeo yake Simba wamekuwa wanatolewa katika mazingira ambayo unaona kabisa walikuwa na nafasi ya kuvuka.
Ahadi sahihi ni kwa timu nzima kama itapata ushindi.
Upoooo.
Nan atapigwa sasaKipigo kipo pale pale hata waingie nchi nzima uwanjani.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kvipiii??
Acha mipasho, tujiandae na strategy ya kupunguza magoli.Ni vizuri mke anapojali kuliko mume.
Inaonyesha mapigo ya Inonga na Kibu D kayakubali.
Ajabu mume kakaa kimya mke yupo amefunga kibwebwe na kucheza mduara.
Inaonyesha mume amemfikisha mke anapostahili.To be continued -----
Mke yupo kwenye vikoba lazima atakuja na stori mpya.
Mbinuko oyeeee.
Pole sana mkuu ....Ni vizuri mke anapojali kuliko mume.
Inaonyesha mapigo ya Inonga na Kibu D kayakubali.
Ajabu mume kakaa kimya mke yupo amefunga kibwebwe na kucheza mduara.
Inaonyesha mume amemfikisha mke anapostahili.To be continued -----
Mke yupo kwenye vikoba lazima atakuja na stori mpya.
Mbinuko oyeeee.
Wydadi wanawasubiriStrategy hiyo ilifanya kazi mkafungwa goli 2 na moja refa akalimeza mlipocheza na Simba. Na mlipunguza goli zilikuwa ziwe 5.Endeleeni na kombe la losers la kuishia hapo hapo.
Wanaochukua Champions league wanashiriki kombe la dunia la vilabu. LOSERS CUP ni ya malosers tu.
Naona ukiisikia Simba tu, unapata kichefuchefu!𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔
Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii
Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.[emoji119]Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki ni hizi za mabosi VVIP je Mwekezaji atakuwepo nae Casablanca Kama alivyokuwa kwa mkapa.
NB;Kwa wale ambao wameshaingia Uwanja wa mkwakwani Tanga ni sawa tu nakusema jukwaa la urusi limeshajaa[emoji119][emoji23].
NB: picha haihusiani na mada ..... nmejaribu kutabiri[emoji23][emoji23]View attachment 2598496
Ni tatizo la afya ya akili kwakweli...Naona ukiisikia Simba tu, unapata kichefuchefu!
Nimefuatilia nyuzi zako hapa JF, kuanzia hii kurudi nyuma, zinafika 37, unaiongeleaSimba tu, tena mfululizo!
Inaonyesha huko uliko, kuna ile BUKU SABA kama kule kwa MATAGA, kiasi kwamba, kila "ukiinanga" unakunja kitu!
Na kweli ni tatizo hasa la kiakili au kimwili.Nadhani ni mimba changa na inamtuma kwa Simba.Jamaa yupo obsessed kuliko kawaida.Ni tatizo la afya ya akili kwakweli...
Simba imemkaa mdomoni kuliko mate yake mwenyewe
Hapana mkuu .....sinaga timu hapa bongo....Kila timu ikizingua tunaichana makavuNaona ukiisikia Simba tu, unapata kichefuchefu!